1 Chronicles 27:9 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwezi wa sita: Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoa; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi Mtekoa. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akida wa sita wa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwezi wa sita: Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoa; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita, alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi Mtekoa. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kamanda wa sita wa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwezi wa sita: Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoa; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa sita wa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikesi wa Tekoa, fungu lake nalo lilikuwa lenye watu 24000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akida wa sita wa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.