1 Chronicles 28:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ujihadhari na kukumbuka ya kwamba, Mwenyezi-Mungu amekuchagua wewe umjengee nyumba ya ibada. Uwe hodari ukatende hivyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Angalia basi, kwa maana Mwenyezi Mungu amekuchagua wewe ili ujenge Hekalu kuwa mahali patakatifu. Uwe hodari ukafanye kazi hiyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jihadhari basi; kwani Bwana amekuchagua wewe ili ujenge nyumba itakayokuwa mahali patakatifu; uwe hodari ukatende hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ujihadhari na kukumbuka ya kwamba, Mwenyezi-Mungu amekuchagua wewe umjengee nyumba ya ibada. Uwe hodari ukatende hivyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angalia basi, kwa maana BWANA amekuchagua wewe ili ujenge Hekalu kuwa mahali patakatifu. Uwe hodari ukafanye kazi hiyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angalia basi, kwa maana bwana amekuchagua wewe ili ujenge Hekalu kuwa mahali patakatifu. Uwe hodari ukafanye kazi hiyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jihadhari basi; kwani BWANA amekuchagua wewe ili ujenge nyumba itakayokuwa mahali patakatifu; uwe hodari ukatende hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ujihadhari na kukumbuka ya kwamba, Mwenyezi-Mungu amekuchagua wewe umjengee nyumba ya ibada. Uwe hodari ukatende hivyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa vitazame vema! Kwani Bwana amekuchagua, uijenge nyumba itakayokuwa Patakatifu! Jihimize kuyafanya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jihadhari basi; kwani BWANA amekuchagua wewe ili ujenge nyumba itakayokuwa mahali patakatifu; uwe hodari ukatende hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi fanya angalisho na kukumbuka kwamba Yawe amekuchagua wewe umujengee nyumba ya ibada. Ukuwe hodari na utende hivyo.”