1 Chronicles 28:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimpa ramani ya yote aliyokusudia moyoni kuhusu nyua za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, vyumba vya Mungu na ghala za kuwekea vitu vilivyo wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akampa vielelezo vya yote ambayo Roho wa Mungu alikuwa ameviweka moyoni mwake kwa ajili ya kumbi za Hekalu la Mwenyezi Mungu na vyumba vyote vilivyolizunguka, kwa ajili ya hazina za Hekalu la Mungu na kwa hazina za vitu vilivyowekwa wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mfano wa yote aliyokuwa nayo kwa roho, katika habari ya nyua za nyumba ya Bwana, na ya vyumba vyote vilivyoizunguka, ya hazina za nyumba ya Mungu, na ya hazina za vitu vilivyowekwa wakfu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimpa ramani ya yote aliyokusudia moyoni kuhusu nyua za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, vyumba vya Mungu na ghala za kuwekea vitu vilivyo wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akampa vielelezo vya yote ambavyo Roho alikuwa ameweka moyoni mwake kwa ajili ya kumbi za Hekalu la BWANA na vyumba vyote vinavyolizunguka, kwa ajili ya hazina za Hekalu la Mungu na kwa hazina za vitu vilivyowekwa wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akampa vielelezo vya yote Roho alikuwa ameviweka moyoni mwake kwa ajili ya kumbi za Hekalu la bwana na vyumba vyote vilivyolizunguka, kwa ajili ya hazina za Hekalu la Mungu na kwa hazina za vitu vilivyowekwa wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mfano wa yote aliyokuwa nao rohoni, kuhusu nyua za nyumba ya BWANA, na ya vyumba vyote vilivyoizunguka, ya hazina za nyumba ya Mungu, na ya hazina za vitu vilivyowekwa wakfu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimpa ramani ya yote aliyokusudia moyoni kuhusu nyua za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, vyumba vya Mungu na ghala za kuwekea vitu vilivyo wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hata mfano wao yote, aliyokuwa ameyawaza rohoni mwake, wa nyua za nyumba ya Bwana na wa vyumba vyote vilivyozizunguka na wa vilimbiko vya nyumba ya Mungu na wa vilimbiko vitakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mfano wa yote aliyokuwa nayo kwa roho, katika habari ya nyua za nyumba ya BWANA, na ya vyumba vyote vilivyoizunguka, ya hazina za nyumba ya Mungu, na ya hazina za vitu vilivyowekwa wakfu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimupatia mufano wa yote aliyokusudia ndani ya moyo juu ya viwanja vya nyumba ya Yawe, vyumba vya Mungu na gala za kuwekea vitu vitakatifu.