1 Chronicles 28:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimpa kiasi cha dhahabu iliyohitajika kutengenezea vyombo vyote vya dhahabu vya utumishi wa kila namna, kiasi cha fedha iliyohitajika kwa utumishi wa kila namna,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwagizia uzito wa dhahabu kwa ajili ya vitu vyote vya dhahabu vya kutumika katika huduma mbalimbali, uzito wa fedha kwa ajili ya vitu vyote vya fedha vya kutumika katika huduma mbalimbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya dhahabu kwa uzani kwa vyombo vya dhahabu, kwa vyombo vyote vya utumishi wa kila namna; ya fedha kwa uzani kwa vyombo vyote vya fedha, kwa vyombo vyote vya utumishi wa kila namna;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimpa kiasi cha dhahabu iliyohitajika kutengenezea vyombo vyote vya dhahabu vya utumishi wa kila namna, kiasi cha fedha iliyohitajika kwa utumishi wa kila namna,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwagizia uzito wa dhahabu kwa ajili ya vitu vyote vya dhahabu vya kutumika katika huduma mbalimbali, uzito wa fedha kwa ajili ya vitu vyote vya fedha vya kutumika katika huduma mbalimbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwagizia uzito wa dhahabu kwa ajili ya vitu vyote vya dhahabu vya kutumika katika huduma mbalimbali, uzito wa fedha kwa ajili ya vitu vyote vya fedha vya kutumika katika huduma mbalimbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya dhahabu kwa uzani kwa vyombo vya dhahabu, kwa vyombo vyote vya utumishi wa kila namna; ya fedha kwa uzani kwa vyombo vyote vya fedha, kwa vyombo vyote vya utumishi wa kila namna;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimpa kiasi cha dhahabu iliyohitajika kutengenezea vyombo vyote vya dhahabu vya utumishi wa kila namna, kiasi cha fedha iliyohitajika kwa utumishi wa kila namna,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampa nazo dhahabu zilizopimwa; kila chombo kimoja cha kila kazi ya utumishi kilikuwa na dhahabu yake, tena fedha zilizopimwa, kila chombo kimoja cha kila utumishi fedha yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya dhahabu kwa uzani kwa vyombo vya dhahabu, kwa vyombo vyote vya utumishi wa kila namna; ya fedha kwa uzani kwa vyombo vyote vya fedha, kwa vyombo vyote vya utumishi wa kila namna;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimupatia kiasi cha zahabu iliyohitajika kwa kutengeneza vyombo vyote vya zahabu vya utumishi wa kila namna, kiasi cha feza iliyohitajika kwa utumishi wa kila namna,