1 Chronicles 28:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
uzani wa vinara vya dhahabu na taa zake, uzani wa dhahabu ya kila kinara na taa zake uzani wa fedha ya kutengenezea kinara na taa zake kulingana na matumizi ya kila kinara;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uzito wa dhahabu kwa ajili ya vinara vya dhahabu na taa zake, kukiwa na uzito kwa ajili ya kila kinara na taa zake, pamoja na uzito wa fedha kwa ajili ya kila kinara cha fedha na taa zake, kulingana na matumizi ya kila kinara;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa uzani tena kwa vinara vya dhahabu, na kwa taa zake za dhahabu, kwa uzani, kwa kila kinara, na kwa taa zake; na kwa vinara vya fedha, kwa uzani kwa kila kinara na kwa taa zake, kwa kadiri ya matumizi ya kila kinara;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
uzani wa vinara vya dhahabu na taa zake, uzani wa dhahabu ya kila kinara na taa zake uzani wa fedha ya kutengenezea kinara na taa zake kulingana na matumizi ya kila kinara;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uzito wa dhahabu kwa ajili ya vinara vya dhahabu na taa zake, kukiwa na uzito kwa ajili ya kila kinara na taa zake pamoja na uzito wa fedha kwa ajili ya kila kinara cha fedha na taa zake, kulingana na matumizi ya kila kinara,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uzito wa dhahabu kwa ajili ya vinara vya dhahabu na taa zake, kukiwa na uzito kwa ajili ya kila kinara na taa zake, pamoja na uzito wa fedha kwa ajili ya kila kinara cha fedha na taa zake, kulingana na matumizi ya kila kinara;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa uzani tena kwa vinara vya dhahabu, na kwa taa zake za dhahabu, kwa uzani, kwa kila kinara, na kwa taa zake; na kwa vinara vya fedha, kwa uzani kwa kila kinara na kwa taa zake, kwa kadiri ya matumizi ya kila kinara;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
uzani wa vinara vya dhahabu na taa zake, uzani wa dhahabu ya kila kinara na taa zake uzani wa fedha ya kutengenezea kinara na taa zake kulingana na matumizi ya kila kinara;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata vinara vilipimiwa dhahabu zao, nazo taa zao dhahabu zao kila kinara kimoja na kila taa moja ilipimiwa dhahabu zake, hata fedha za vinara na za taa zao zilipimiwa kila kinara kimoja, kama kilivyotumika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa uzani tena kwa vinara vya dhahabu, na kwa taa zake za dhahabu, kwa uzani, kwa kila kinara, na kwa taa zake; na kwa vinara vya fedha, kwa uzani kwa kila kinara na kwa taa zake, kwa kadiri ya matumizi ya kila kinara;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uzito wa vinara vya zahabu na taa zake, uzito wa kila kinara na taa zake kiasi cha feza ya kutengeneza kinara na taa zake kulingana na matumizi ya kila kinara;