1 Chronicles 28:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kiasi cha dhahabu ya kutengenezea meza za dhahabu zilizowekewa mikate iliyotolewa kwa Mungu, hata kiasi cha fedha ya kutengenezea meza za fedha;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uzito wa dhahabu kwa ajili ya meza ya mikate iliyowekwa wakfu, uzito wa fedha kwa ajili ya meza ya fedha;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na dhahabu kwa uzani kwa meza za mikate ya wonyesho, kwa kila meza; na fedha kwa meza za fedha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kiasi cha dhahabu ya kutengenezea meza za dhahabu zilizowekewa mikate iliyotolewa kwa Mungu, hata kiasi cha fedha ya kutengenezea meza za fedha;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uzito wa dhahabu kwa ajili ya meza ya mikate iliyowekwa wakfu, uzito wa fedha kwa ajili ya meza ya fedha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uzito wa dhahabu kwa ajili ya meza ya mikate iliyowekwa wakfu, uzito wa fedha kwa ajili ya meza ya fedha;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na dhahabu kwa uzani kwa meza za mikate ya wonyesho, kwa kila meza; na fedha kwa meza za fedha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kiasi cha dhahabu ya kutengenezea meza za dhahabu zilizowekewa mikate iliyotolewa kwa Mungu, hata kiasi cha fedha ya kutengenezea meza za fedha;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampa nazo dhahabu zilizopimiwa meza za mikate, aliyowekwa Bwana, kila meza dhahabu zake, hata fedha za meza za fedha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na dhahabu kwa uzani kwa meza za mikate ya wonyesho, kwa kila meza; na fedha kwa meza za fedha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kiasi cha zahabu ya kutengeneza meza za zahabu za kuwekea mikate iliyotolewa kwa Mungu, hata kiasi cha feza ya kutengeneza meza za feza;