1 Chronicles 28:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pia alitoa maagizo kuhusu kiasi cha dhahabu safi iliyohitajika kutengenezea nyuma, mabirika na vikombe, pia kiasi cha dhahabu na fedha iliyohitajika kutengenezea mabakuli ya dhahabu na ya fedha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya nyuma, mabakuli ya kunyunyizia na vikombe, masinia; uzito wa dhahabu kwa ajili ya kila bakuli la dhahabu; uzito wa fedha kwa ajili ya kila bakuli la fedha;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nyuma, na mabakuli, na vikombe vya dhahabu safi; na kwa matasa ya dhahabu, kwa uzani kwa kila tasa; na kwa matasa ya fedha, kwa uzani kwa kila tasa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pia alitoa maagizo kuhusu kiasi cha dhahabu safi iliyohitajika kutengenezea nyuma, mabirika na vikombe, pia kiasi cha dhahabu na fedha iliyohitajika kutengenezea mabakuli ya dhahabu na ya fedha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya nyuma, mabakuli ya kunyunyizia na vikombe, masinia, uzito wa dhahabu kwa ajili ya kila bakuli la dhahabu, uzito wa fedha kwa ajili ya kila bakuli la fedha
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya nyuma, mabakuli ya kunyunyizia na vikombe, masinia; uzito wa dhahabu kwa ajili ya kila bakuli la dhahabu; uzito wa fedha kwa ajili ya kila bakuli la fedha;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nyuma, na mabakuli, na vikombe vya dhahabu safi; na kwa matasa ya dhahabu, kwa uzani kwa kila tasa; na kwa matasa ya fedha, kwa uzani kwa kila tasa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pia alitoa maagizo kuhusu kiasi cha dhahabu safi iliyohitajika kutengenezea nyuma, mabirika na vikombe, pia kiasi cha dhahabu na fedha iliyohitajika kutengenezea mabakuli ya dhahabu na ya fedha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampa tena dhahabu tupu za nyuma na za vyano na za madumu na za vinyweo vya dahabu, kila kinyweo kimoja kilipimiwa dhahabu zake, navyo vinyweo vya fedha vilipimiwa kila kinyweo kimoja fedha zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nyuma, na mabakuli, na vikombe vya dhahabu safi; na kwa matasa ya dhahabu, kwa uzani kwa kila tasa; na kwa matasa ya fedha, kwa uzani kwa kila tasa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vilevile alitoa maagizo juu ya kiasi cha zahabu safi iliyohitajika kwa kutengeneza makanya, mabeseni na vikombe, vilevile kiasi cha zahabu na feza iliyohitajika kwa kutengeneza mabakuli ya zahabu na ya feza,