1 Chronicles 28:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kiasi cha dhahabu safi ya kutengenezea madhabahu ya kufukizia ubani. Alimpa pia mfano wake wa gari la dhahabu la viumbe wenye mabawa waliyotandaza mabawa na kulifunika sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya madhabahu ya kufukizia uvumba. Pia alimpa kielelezo kwa ajili ya gari la vita, yaani wale makerubi wa dhahabu waliokunjua mabawa yao na kutia kivuli juu ya Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa madhabahu ya kufukizia, dhahabu iliyosafika sana kwa uzani; na dhahabu kwa mfano wa gari, yaani, makerubi, yenye kutandaza mabawa, na kulifunika sanduku la agano la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kiasi cha dhahabu safi ya kutengenezea madhabahu ya kufukizia ubani. Alimpa pia mfano wake wa gari la dhahabu la viumbe wenye mabawa waliyotandaza mabawa na kulifunika sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya madhabahu ya kufukizia uvumba. Pia alimpa kielelezo kwa ajili ya gari, yaani, wale makerubi wa dhahabu waliokunjua mbawa zao na kuweka kivuli juu ya Sanduku la Agano la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya madhabahu ya kufukizia uvumba. Pia alimpa kielelezo kwa ajili ya gari, yaani, wale makerubi wa dhahabu waliokunjua mbawa zao na kuweka kivuli juu ya Sanduku la Agano la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa madhabahu ya kufukizia, dhahabu iliyosafika sana kwa uzani; na dhahabu kwa mfano wa gari, yaani, makerubi, yenye kutandaza mabawa, na kulifunika sanduku la Agano la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kiasi cha dhahabu safi ya kutengenezea madhabahu ya kufukizia ubani. Alimpa pia mfano wake wa gari la dhahabu la viumbe wenye mabawa waliyotandaza mabawa na kulifunika sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampa nazo dhahabu zilizong'azwa za meza ya kuvukizia uvumba, nazo zilipimwa. Kisha akampa mfano wa gari, ndio makerubi ya dhahabu yaliyokunjua mabawa, yalifunike Sanduku la Agano la Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa madhabahu ya kufukizia, dhahabu iliyosafika sana kwa uzani; na dhahabu kwa mfano wa gari, yaani, makerubi, yenye kutandaza mabawa, na kulifunika sanduku la agano la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kiasi cha zahabu safi ya kutengeneza mazabahu ya kufukizia ubani. Alimupatia vilevile mufano wake wa gari la zahabu la makerubi yaliyotandaza mabawa na kufunika Sanduku la Agano la Yawe.