1 Chronicles 28:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo yote, mfalme Daudi aliyaweka wazi kwa maandishi aliyopewa na Mwenyezi-Mungu. Kazi yote itendeke kulingana na ramani hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akasema, “Hii yote, ninayo kwa maandishi kutoka mkononi mwa Mwenyezi Mungu ulio juu yangu, naye amenipa ufahamu kwa ajili ya habari zote za kielelezo hiki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo yote, akasema Daudi, yamenielea kwa maandiko kutoka kwa mkono wa Bwana, naam, kazi zote za mfano huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo yote, mfalme Daudi aliyaweka wazi kwa maandishi aliyopewa na Mwenyezi-Mungu. Kazi yote itendeke kulingana na ramani hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akasema, “Hii yote, ninayo kwa maandishi kutoka mkononi mwa BWANA ulio juu yangu, naye amenipa ufahamu kwa ajili ya habari zote za kielelezo hiki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akasema, “Hii yote, ninayo kwa maandishi kutoka mkononi mwa bwana ulio juu yangu, naye amenipa ufahamu kwa ajili ya habari zote za kielelezo hiki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo yote, akasema Daudi, yamenielea kwa maandiko kutoka wa BWANA, naam, kazi zote za mfano huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo yote, mfalme Daudi aliyaweka wazi kwa maandishi aliyopewa na Mwenyezi-Mungu. Kazi yote itendeke kulingana na ramani hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Haya yote yamo katika mwandiko uliotoka mkononi mwa Bwana, nikaupata, unifundishe kazi zote za mfano huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayo yote, akasema Daudi, yamenielea kwa maandiko kutoka kwa mkono wa BWANA, naam, kazi zote za mfano huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo yote, mufalme Daudi aliyaweka wazi kwa maandiko aliyopewa na Yawe. Kazi yote itendeke kulingana na mufano ule.