1 Chronicles 28:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amenijalia wana wengi, na miongoni mwa hao wote, amemchagua Solomoni mwanangu, aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wake Mwenyezi-Mungu aitawale Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miongoni mwa wanangu wote, naye Mwenyezi Mungu amenipa wengi, amemchagua Sulemani mwanangu ili kukikalia kiti cha utawala cha ufalme wa Mwenyezi Mungu juu ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena katika wana wangu wote (kwani Bwana amenipa wana wengi), amemchagua Sulemani mwanangu ili aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wa Bwana, juu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amenijalia wana wengi, na miongoni mwa hao wote, amemchagua Solomoni mwanangu, aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wake Mwenyezi-Mungu aitawale Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miongoni mwa wanangu wote, naye BWANA amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa BWANA juu ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miongoni mwa wanangu wote, naye bwana amenipa wengi, amemchagua Sulemani mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa bwana juu ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena katika wana wangu wote (kwani BWANA amenipa wana wengi), amemchagua Sulemani mwanangu ili aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wa BWANA, juu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amenijalia wana wengi, na miongoni mwa hao wote, amemchagua Solomoni mwanangu, aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wake Mwenyezi-Mungu aitawale Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha katika wanangu wote, kwani Bwana akanipa wana wengi, akamchagua mwanangu Salomo, akae katika kiti cha ufalme wa Bwana na kuwatawala Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena katika wana wangu wote (kwani BWANA amenipa wana wengi), amemchagua Sulemani mwanangu ili aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wa BWANA, juu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amenijalia wana wengi, na kati ya hao wote, amemuchagua Solomono mwana wangu, aikae juu ya kiti cha kifalme cha ufalme wa Yawe atawale.