1 Chronicles 28:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitauimarisha ufalme wake milele ikiwa ataendelea kuzishika kwa dhati amri na sheria zangu kama anavyofanya leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitauimarisha ufalme wake milele kama akiendelea kuzishika amri zangu na sheria zangu, kama afanyavyo hivi leo.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ufalme wake nitauweka imara milele, akijitia kwa bidii kuzitenda amri zangu na hukumu zangu, kama hivi leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitauimarisha ufalme wake milele ikiwa ataendelea kuzishika kwa dhati amri na sheria zangu kama anavyofanya leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaufanya imara ufalme wake milele kama akiendelea kuzishika amri zangu na sheria zangu, kama afanyavyo hivi leo.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaufanya imara ufalme wake milele kama akiendelea kuzishika amri zangu na sheria zangu, kama afanyavyo hivi leo.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ufalme wake nitauimarisha milele, akiendelea kuzitenda amri zangu na hukumu zangu kwa dhati, kama hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitauimarisha ufalme wake milele ikiwa ataendelea kuzishika kwa dhati amri na sheria zangu kama anavyofanya leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ufalme wake nitaushikiza, uwe wa kale na kale, akijishupaza kuyafanya maagizo yangu na maamuzi yangu kama leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ufalme wake nitauweka imara milele, akijitia kwa bidii kuzitenda amri zangu na hukumu zangu, kama hivi leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaimarisha ufalme wake milele ikiwa ataendelea kushika kwa moyo amri zangu na maagizo yangu kama vile anavyofanya leo.