1 Chronicles 29:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Daudi akamtukuza Mwenyezi-Mungu mbele ya mkutano wote, akisema: “Utukuzwe milele na milele, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba yetu Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamhimidi Mwenyezi Mungu mbele ya kusanyiko lote, akisema: “Uhimidiwe wewe, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli baba yetu, tangu milele hata milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo Daudi akamhimidi Bwana, mbele ya mkutano wote; naye Daudi akasema, Uhimidiwe, Ee Bwana, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Daudi akamtukuza Mwenyezi-Mungu mbele ya mkutano wote, akisema: “Utukuzwe milele na milele, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba yetu Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamhimidi BWANA mbele ya kusanyiko lote, akisema: “Uhimidiwe wewe, Ee BWANA, Mungu wa Israeli baba yetu, tangu milele hata milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamhimidi bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: “Uhimidiwe wewe, Ee bwana, Mungu wa Israeli baba yetu, tangu milele hata milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo Daudi akamhimidi BWANA, mbele ya mkutano wote; naye Daudi akasema, Uhimidiwe, Ee BWANA, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Daudi akamtukuza Mwenyezi-Mungu mbele ya mkutano wote, akisema: “Utukuzwe milele na milele, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba yetu Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Dawidi alipomtukuza Bwana mbele ya mkutano wote, yeye Dawidi akisema: Utukuzwe wewe Bwana Mungu wa baba yetu Isiraeli toka kale hata kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo Daudi akamhimidi BWANA, mbele ya mkutano wote; naye Daudi akasema, Uhimidiwe, Ee BWANA, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Daudi akamutukuza Yawe mbele ya mukutano wote, akisema: “Utukuzwe milele na milele, ee Yawe, Mungu wa baba yetu Israeli.