1 Chronicles 29:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utajiri na heshima hutoka kwako, vyote wavitawala. Uwezo na nguvu vimo mkononi mwako, nawe wawakuza uwapendao, na huwaimarisha wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utajiri na heshima vyatoka kwako; wewe ndiwe unayetawala vitu vyote. Mikononi mwako kuna nguvu na uweza ili kuinua na kuwapa wote nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utajiri na heshima hutoka kwako, vyote wavitawala. Uwezo na nguvu vimo mkononi mwako, nawe wawakuza uwapendao, na huwaimarisha wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utajiri na heshima vyatoka kwako, wewe ndiwe utawalaye vitu vyote. Mikononi mwako kuna nguvu na uweza kuinua na kuwapa wote nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utajiri na heshima vyatoka kwako; wewe ndiwe utawalaye vitu vyote. Mikononi mwako kuna nguvu na uweza ili kuinua na kuwapa wote nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utajiri na heshima hutoka kwako, vyote wavitawala. Uwezo na nguvu vimo mkononi mwako, nawe wawakuza uwapendao, na huwaimarisha wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mali na macheo hutoka kwako, wewe unayatawala yote pia, mkononi mwako zimo nguvu na uwezo, nao mkono wako ndio unaowapatia wote ukubwa na nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utajiri na heshima vinatoka kwako, vyote unavitawala. Uwezo na nguvu viko katika mukono wako, nawe unawatukuza wale unaowapenda, na kuwaimarisha wote.