1 Chronicles 29:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa ee Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu Jina lako tukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Mungu wetu, twakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa ee Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu Jina lako tukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu Jina lako tukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa ee Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Mungu wetu, sisi tunakushukuru na kulishangilia Jina lako tukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, Mungu wetu, twakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, ee Mungu wetu, tunakushukuru na kusifu jina lako tukufu.