1 Chronicles 29:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Solomoni akaketi katika kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu, badala ya Daudi baba yake. Naye akafanikiwa, na taifa lote la Israeli likamtii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akaketi kwenye kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu kuwa mfalme mahali pa Daudi baba yake. Akafanikiwa sana, na Waisraeli wote wakamtii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha Bwana, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Solomoni akaketi katika kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu, badala ya Daudi baba yake. Naye akafanikiwa, na taifa lote la Israeli likamtii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akaketi kwenye kiti cha enzi cha BWANA kuwa mfalme mahali pa Daudi baba yake. Akafanikiwa sana na Israeli wote wakamtii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akaketi kwenye kiti cha enzi cha bwana kuwa mfalme mahali pa Daudi baba yake. Akafanikiwa sana na Israeli wote wakamtii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Solomoni akaketi katika kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu, badala ya Daudi baba yake. Naye akafanikiwa, na taifa lote la Israeli likamtii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Salomo alipokaa katika kiti cha kifalme cha Bwana, akawa mflame mahali pa baba yake Dawidi, akafanikiwa, nao Waisiraeli wote wakamtii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Solomono akaikaa katika kiti cha kifalme cha Yawe, kwa pahali pa baba yake Daudi. Naye akafanikiwa; na taifa lote la Waisraeli likamutii. 29.23 Ang. 1 Fal 2.12