1 Chronicles 29:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viongozi wote, mashujaa na wana wote wa Daudi wakajiweka chini ya mfalme Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa wote na mashujaa, pamoja na wana wote wa Daudi, wakaahidi kumtii Mfalme Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakuu wote, na mashujaa, na wana wote wa mfalme Daudi nao, wakajitia chini ya mfalme Sulemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viongozi wote, mashujaa na wana wote wa Daudi wakajiweka chini ya mfalme Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa wote na mashujaa, pamoja na wana wote wa Daudi, wakaahidi kumtii Mfalme Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa wote na mashujaa, pamoja na wana wote wa Daudi, wakaahidi kumtii Mfalme Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakuu wote, na mashujaa, na wana wote wa mfalme Daudi nao, wakaahidi kuwa watiifu kwa mfalme Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viongozi wote, mashujaa na wana wote wa Daudi wakajiweka chini ya mfalme Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata wakuu wote na mafundi wa vita nao wana wote wa mfalme Dawidi wakajiweka mkononi mwa Salomo, wamtii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakuu wote, na mashujaa, na wana wote wa mfalme Daudi nao, wakajitia chini ya mfalme Sulemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viongozi wote na mashujaa vilevile na wana wote wa mufalme Daudi, wakaahidi kuwa watiifu kwa mufalme Solomono.