1 Chronicles 29:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na muda aliotawala juu ya Israeli ulikuwa miaka arubaini; miaka saba alitawala huko Hebroni na miaka thelathini na mitatu alitawala huko Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitawala Israeli kwa miaka arobaini: huko Hebroni alitawala miaka saba, na katika Yerusalemu akatawala miaka thelathini na tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati aliotawala juu ya Israeli, ulikuwa miaka arobaini; miaka saba alitawala Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akatawala Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na muda aliotawala juu ya Israeli ulikuwa miaka arubaini; miaka saba alitawala huko Hebroni na miaka thelathini na mitatu alitawala huko Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitawala Israeli kwa miaka arobaini, kwa miaka saba alitawala huko Hebroni na kwa miaka thelathini na mitatu alitawala huko Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitawala Israeli kwa miaka arobaini: huko Hebroni alitawala miaka saba, na katika Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakati aliotawala juu ya Israeli, ulikuwa miaka arobaini; miaka saba alitawala Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akatawala Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na muda aliotawala juu ya Israeli ulikuwa miaka arubaini; miaka saba alitawala huko Hebroni na miaka thelathini na mitatu alitawala huko Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo siku, alizokuwa mfalme wao Waisiraeli, zilikuwa miaka 40; Heburoni alikaa mwenye ufalme miaka 7, namo Yerusalemu alikaa mwenye ufalme miaka 33.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati aliotawala juu ya Israeli, ulikuwa miaka arobaini; miaka saba alitawala Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akatawala Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na muda aliotawala juu ya inchi ya Israeli ulikuwa miaka makumi ine; miaka saba alitawala akiwa Hebroni na miaka makumi tatu na mitatu alitawala akiwa Yerusalema.