1 Chronicles 29:30 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo zasema pamoja na mambo ya utawala wake, uwezo wake, na mambo yaliyompata yeye, Waisraeli, na falme zote nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na habari zote za utawala wake, nguvu zake na matukio yaliyompata yeye, na Israeli, na falme za nchi nyingine zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
pamoja na kutawala kwake kote na nguvu zake, nazo zamani zilizompata yeye, na Israeli, na falme zote za nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo zasema pamoja na mambo ya utawala wake, uwezo wake, na mambo yaliyompata yeye, Waisraeli, na falme zote nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na habari zote za utawala wake, nguvu zake na matukio yaliyompata yeye, na Israeli, na falme za nchi nyingine zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na habari zote za utawala wake, nguvu zake na matukio yaliyompata yeye, na Israeli, na falme za nchi nyingine zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
zikisimulia kuhusu kutawala kwake kote na nguvu zake, na mambo yote yaliyompata yeye, na Israeli, na falme zote za nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo zasema pamoja na mambo ya utawala wake, uwezo wake, na mambo yaliyompata yeye, Waisraeli, na falme zote nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndimo, yalimo mambo yote ya ufalme wake na ya uwezo wake nazo siku zilizompata yeye na Waisiraeli na nchi zote za kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)