1 Chronicles 29:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tani 3,000 za dhahabu kutoka Ofiri, talanta 700 za fedha safi ya kuzifunikia kuta za nyumba,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
talanta elfu tatu za dhahabu (dhahabu ya Ofiri), na talanta elfu saba za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yaani, talanta elfu tatu za dhahabu, za dhahabu ya Ofiri, na talanta elfu saba za fedha iliyosafika, ya kuzifunikiza kuta za nyumba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tani 3,000 za dhahabu kutoka Ofiri, talanta 700 za fedha safi ya kuzifunikia kuta za nyumba,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
talanta 3,000 za dhahabu (dhahabu ya Ofiri) na talanta 7,000 za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
talanta 3,000 za dhahabu (dhahabu ya Ofiri) na talanta 7,000 za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yaani, talanta elfu tatu za dhahabu, za dhahabu ya Ofiri, na talanta elfu saba za fedha iliyosafika, ya kuzifunikiza kuta za nyumba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tani 3,000 za dhahabu kutoka Ofiri, talanta 700 za fedha safi ya kuzifunikia kuta za nyumba,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipande vya dhahabu 3000 vya dhahabu ya Ofiri, ndio frasila 9000, na vipande vya fedha zilizong'azwa 7000, ndio frasila 21000 za kuzifunikiza kuta za nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yaani, talanta elfu tatu za dhahabu, za dhahabu ya Ofiri, na talanta elfu saba za fedha iliyosafika, ya kuzifunikiza kuta za nyumba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ni toni mia moja za zahabu kutoka Ofiri, toni yapata mia mbili za feza safi ya kuzifunikia kuta za nyumba,