1 Chronicles 29:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kwa ajili ya kutengenezea vitu vya kila aina vitakavyotengenezwa na mafundi kwa mikono. Nimeweka dhahabu kwa ajili ya vyombo vya dhahabu, na fedha kwa ajili ya vyombo vya fedha. Ni nani basi atakayemtolea Mwenyezi-Mungu kwa hiari ili ajiweke wakfu hivi leo kwa Mwenyezi-Mungu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kazi ya dhahabu na kazi ya fedha na kwa kazi yote itakayofanywa na mafundi. Basi, ni nani anayependa kujitoa kwa Mwenyezi Mungu leo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya dhahabu, kwa vitu vya dhahabu, na ya fedha kwa vitu vya fedha, na kwa kazi za kila namna zitakazofanywa kwa mikono ya mafundi. Ni nani basi ajitoaye kwa moyo ili ajiweke wakfu leo kwa Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kwa ajili ya kutengenezea vitu vya kila aina vitakavyotengenezwa na mafundi kwa mikono. Nimeweka dhahabu kwa ajili ya vyombo vya dhahabu, na fedha kwa ajili ya vyombo vya fedha. Ni nani basi atakayemtolea Mwenyezi-Mungu kwa hiari ili ajiweke wakfu hivi leo kwa Mwenyezi-Mungu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kazi ya dhahabu na kazi ya fedha na kwa kazi yote itakayofanywa na mafundi. Basi, ni nani anayependa kujitoa kwa BWANA leo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kazi ya dhahabu na kazi ya fedha na kwa kazi yote itakayofanywa na mafundi. Basi, ni nani anayependa kujitoa kwa bwana leo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya dhahabu, kwa vitu vya dhahabu, na ya fedha kwa vitu vya fedha, na kwa kazi za kila namna zitakazofanywa kwa mikono ya mafundi. Ni nani basi ajitoaye kwa moyo ili ajiweke wakfu leo kwa BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kwa ajili ya kutengenezea vitu vya kila aina vitakavyotengenezwa na mafundi kwa mikono. Nimeweka dhahabu kwa ajili ya vyombo vya dhahabu, na fedha kwa ajili ya vyombo vya fedha. Ni nani basi atakayemtolea Mwenyezi-Mungu kwa hiari ili ajiweke wakfu hivi leo kwa Mwenyezi-Mungu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
napo panapopaswa na dhahabu papate dhahabu, napo panapopaswa na fedha papate fedha, napo, mafundi watakapozitumia za kazi zo zote. Sasa hivi kwenu yuko nani anayetaka kukijaza mwenyewe kiganja chake, apate kumpa Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya dhahabu, kwa vitu vya dhahabu, na ya fedha kwa vitu vya fedha, na kwa kazi za kila namna zitakazofanywa kwa mikono ya mafundi. Ni nani basi ajitoaye kwa moyo ili ajiweke wakfu leo kwa BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kwa ajili ya kutengeneza vitu vya kila aina vitakavyotengenezwa na wafundi kwa mikono. Nimeweka zahabu kwa ajili ya vyombo vya zahabu, na feza kwa ajili ya vyombo vya feza. Ni nani basi atakayemutolea Yawe kwa mapenzi yake kusudi ajitoe hivi leo kwa Yawe?”