1 Chronicles 29:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitoa kwa ajili ya huduma za nyumba ya Mungu: Tani 170 za dhahabu, tani 340 za fedha, tani 620 za shaba na tani 3,400 za chuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta elfu tano na darkoni elfu kumi za dhahabu, talanta elfu kumi za fedha, talanta elfu kumi na nane za shaba, na talanta elfu mia moja za chuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakatoa, kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu, dhahabu talanta elfu tano, na darkoni
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitoa kwa ajili ya huduma za nyumba ya Mungu: tani 170 za dhahabu, tani 340 za fedha, tani 620 za shaba na tani 3,400 za chuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 na darkoni 10,000 za dhahabu, talanta 10,000 za fedha, talanta 18,000 za shaba na talanta 100,000 za chuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 na darkoni 10,000 za dhahabu, talanta 10,000 za fedha, talanta 18,000 za shaba na talanta 100,000 za chuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakatoa, kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu, dhahabu talanta elfu tano, na darkoni elfu kumi, na fedha talanta elfu kumi, na shaba talanta elfu kumi na nane, na chuma talanta elfu mia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitoa kwa ajili ya huduma za nyumba ya Mungu: Tani 170 za dhahabu, tani 340 za fedha, tani 620 za shaba na tani 3,400 za chuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakatoa vya kutumiwa nyumbani mwa Mungu vipande vya dhahabu 5000, ndio frasila 15000, na robo za dhahabu 10000, ndio shilingi kama 400000, na vipande vya fedha 10000 kumi, ndio frasila 30000, na vipande vya shaba 18000, ndio frasila 54000, na vipande vya chuma 100000 ndio frasila 300000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakatoa, kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu, dhahabu talanta elfu tano, na darkoni elfu kumi, na fedha talanta elfu kumi, na shaba talanta elfu kumi na nane, na chuma talanta elfu mia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
walitoa kwa ajili ya kazi za nyumba ya Mungu: toni mia moja makumi saba za zahabu, vikoroti elfu kumi vya zahabu, na zaidi ya toni mia tatu za feza, yapata toni mia sita za shaba, na zaidi ya toni elfu mia tatu za chuma.