1 Chronicles 29:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale ambao walikuwa na vito vya thamani walivitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mgershoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la Mwenyezi Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale walioonekana kuwa na vito vya thamani wakavitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Bwana, chini ya mkono wa Yehieli, Mgershoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale ambao walikuwa na vito vya thamani walivitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mgershoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la BWANA chini ya uangalizi wa Yehieli Mgerishoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la bwana chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale walioonekana kuwa na vito vya thamani wakavitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya BWANA, chini ya mkono wa Yehieli, Mgershoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale ambao walikuwa na vito vya thamani walivitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mgershoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walioonekana kuwa wenye vito wakavitia katika vilimbiko vya nyumba ya Bwana mkononi mwa Mgersoni Yehieli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale walioonekana kuwa na vito vya thamani wakavitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya BWANA, chini ya mkono wa Yehieli, Mgershoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale ambao walikuwa na mawe ya bei kali wakayatoa kusudi yawekwe katika hazina ya nyumba ya Yawe, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mugersoni.