1 Chronicles 3:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wa mfalme Solomoni: Solomoni alimzaa Rehoboamu, aliyemzaa Abiya, aliyemzaa Asa, aliyemzaa Yehoshafati,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Sulemani alikuwa Rehoboamu, mwanawe huyo alikuwa Abiya, mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, mwanawe huyo alikuwa Asa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwanawe Sulemani alikuwa Rehoboamu; na mwanawe huyo alikuwa Abiya; na mwanawe huyo ni Asa; na mwanawe huyo ni Yehoshafati;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wa mfalme Solomoni: Solomoni alimzaa Rehoboamu, aliyemzaa Abiya, aliyemzaa Asa, aliyemzaa Yehoshafati,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu, mwanawe huyo alikuwa Abiya, mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, mwanawe huyo alikuwa Asa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Sulemani alikuwa Rehoboamu, mwanawe huyo alikuwa Abiya, mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, mwanawe huyo alikuwa Asa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wazawa wa Sulemani walikuwa: Rehoboamu mwanawe; mwanawe huyo alikuwa Abiya; na mwanawe huyo ni Asa; na mwanawe huyo ni Yehoshafati;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wa mfalme Solomoni: Solomoni alimzaa Rehoboamu, aliyemzaa Abiya, aliyemzaa Asa, aliyemzaa Yehoshafati,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwana wa Salomo ni Rehabeamu, mwanawe ni Abia, mwanawe ni Asa, mwanawe ni Yosafati,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwanawe Sulemani alikuwa Rehoboamu; na mwanawe huyo alikuwa Abiya; na mwanawe huyo ni Asa; na mwanawe huyo ni Yehoshafati;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wa Solomono: Rehoboamu, mwana wa Rehoboamu: Abiya, mwana wa Abiya: Asa, mwana wa Asa: Yosafati, mwana wa Yosafati: Yoramu, mwana wa Yoramu: Ahazia, mwana wa Ahazia: Yoasi, mwana wa Yoasi: Amazia, mwana wa Amazia: Azaria, mwana wa Azaria: Yotamu, mwana wa Yotamu: Ahazi, mwana wa Ahazi: Hezekia, mwana wa Hezekia: Manase, mwana wa Manase: Amoni, mwana wa Amoni: Yosia.