1 Chronicles 3:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosia alikuwa na wana wanne: Yohanani, mzaliwa wake wa kwanza, wa pili Yehoyakimu, wa tatu Sedekia na wa nne Shalumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yosia walikuwa hawa; Yohana mzaliwa wa kwanza, wa pili Yehoyakimu, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosia alikuwa na wana wanne: Yohanani, mzaliwa wake wa kwanza, wa pili Yehoyakimu, wa tatu Sedekia na wa nne Shalumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Yosia walikuwa: Yohana ni mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yosia walikuwa hawa; Yohana mzaliwa wa kwanza, wa pili Yehoyakimu, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosia alikuwa na wana wanne: Yohanani, mzaliwa wake wa kwanza, wa pili Yehoyakimu, wa tatu Sedekia na wa nne Shalumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yosia: wa kwanza ni Yohana, wa pili Yoyakimu, wa tatu Sedekia, wa nne Salumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yosia walikuwa hawa; Yohana mzaliwa wa kwanza, wa pili Yehoyakimu, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Yosia walikuwa: Yohana, muzaliwa wake wa kwanza; wa pili Yoyakimu, wa tatu Zedekia na wa ine Salumu.