1 Chronicles 3:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Yekonia aliyechukuliwa mateka na Wababuloni walikuwa saba: Shealtieli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; mwanawe Shealtieli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Yekonia aliyechukuliwa mateka na Wababuloni walikuwa saba: Shealtieli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; mwanawe Shealtieli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Yekonia aliyechukuliwa mateka na Wababuloni walikuwa saba: Shealtieli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yekonia aliyetekwa ni mwanawe Saltieli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; mwanawe Shealtieli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Yekonia, aliyepelekwa kuwa mufungwa na Wababeli, walikuwa: Saltieli,