1 Chronicles 3:2 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, bintiye Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne alikuwa Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake aliitwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, ambaye mama yake aliitwa Hagithi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa tatu, Absalomu, mwana wa Maaka, binti Talmai, mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, mwana wa Hagithi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, bintiye Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne alikuwa Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; Wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa tatu, Absalomu, mwana wa Maaka, binti Talmai, mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, mwana wa Hagithi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, bintiye Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne alikuwa Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa tatu Abisalomu, mwana wa Maka, binti Talmai, mfalme wa Gesuri; wa nne Adonia, mwana wa Hagiti;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa tatu, Absalomu, mwana wa Maaka, binti Talmai, mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, mwana wa Hagithi;