1 Chronicles 3:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zerubabeli pia alikuwa na wana wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-hesedi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Hashuba, na Oheli, na Berekia, na Hasadia, na Yushab-Hesedi, watu watano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zerubabeli pia alikuwa na wana wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-hesedi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia walikuwepo wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia walikuwepo wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Hashuba, na Oheli, na Berekia, na Hasadia, na Yushab-Hesedi, watu watano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zerubabeli pia alikuwa na wana wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-hesedi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena Hasuba na Oheli na Berekia na Hasadia na Yusabu-Hesedi, watu watano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Hashuba, na Oheli, na Berekia, na Hasadia, na Yushab-Hesedi, watu watano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zerubabeli vilevile alikuwa na wana wengine watano: Hasuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yusabu-Hesedi.