1 Chronicles 3:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eliehonai alikuwa na wana saba: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Elioenai walikuwa: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Elioenai; Hodavia, na Eliashibu, na Pelaya, na Akubu, na Yohana, na Delaya, na Anani, watu saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eliehonai alikuwa na wana saba: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Elioenai walikuwa: Hodavia, Eliyashibu, Pelaya, Akubu, Yohana, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Elioenai walikuwa: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Elioenai; Hodavia, na Eliashibu, na Pelaya, na Akubu, na Yohana, na Delaya, na Anani, watu saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eliehonai alikuwa na wana saba: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Eliyoenai: Hodawia na Eliasibu na Pelaya na Akubu na Yohana na Delaya na Anani, watu saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Elioenai; Hodavia, na Eliashibu, na Pelaya, na Akubu, na Yohana, na Delaya, na Anani, watu saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eliyoenai alikuwa na wana saba: Hodavia, Eliasibu, Pelaya, Akubu, Yohana, Dalaya na Anani.