1 Chronicles 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Huko Yerusalemu, alitawala kwa muda wa miaka thelathini na mitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na tatu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sita alizaliwa huko Hebroni; na huko akamiliki miaka saba na miezi sita; na huko Yerusalemu akamiliki miaka thelathini na mitatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Huko Yerusalemu, alitawala kwa muda wa miaka thelathini na mitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sita alizaliwa huko Hebroni; na huko akatawala miaka saba na miezi sita; na huko Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Huko Yerusalemu, alitawala kwa muda wa miaka thelathini na mitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa sita ndio aliozaliwa Heburoni, alimokuwa mfalme miaka saba na miezi sita; lakini Yerusalemu alikuwa mfalme miaka thelatini na mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sita alizaliwa huko Hebroni; na huko akamiliki miaka saba na miezi sita; na huko Yerusalemu akamiliki miaka thelathini na mitatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Kule Yerusalema, alitawala kwa muda wa miaka makumi tatu na mitatu.