1 Chronicles 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na mbali na hao alikuwa na wana wengine tisa: Ibhari, Elishua, Elifaleti,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Ibhari, na Elishua, na Elipeleti;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na mbali na hao alikuwa na wana wengine tisa: Ibhari, Elishua, Elifaleti,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia kulikuwa na wana wengine: Ibhari, Elishua, Elifeleti,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Ibhari, na Elishua, na Elipeleti;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na mbali na hao alikuwa na wana wengine tisa: Ibhari, Elishua, Elifaleti,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Ibuhari na Elisama na Elifeleti
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Ibhari, na Elishua, na Elipeleti;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na zaidi ya hao alikuwa na wana wengine tisa: Ibuhari, Elisua, Elifeleti,