1 Chronicles 3:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wengine waliozaliwa na masuria wake. Daudi alikuwa na binti pia, aliyeitwa Tamari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wana wa masuria; na Tamari alikuwa umbu lao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wengine waliozaliwa na masuria wake. Daudi alikuwa na binti pia, aliyeitwa Tamari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa wote walikuwa wana wa Daudi mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wana wa masuria; na Tamari alikuwa dada yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wengine waliozaliwa na masuria wake. Daudi alikuwa na binti pia, aliyeitwa Tamari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ni wana wote wa wakeze Dawidi pasipo wana wa masuria; naye Tamari alikuwa umbu lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wana wa masuria; na Tamari alikuwa umbu lao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, zaidi ya wale kuna wengine aliozaliwa na wahabara yake. Daudi alikuwa na binti vilevile, aliyeitwa Tamari.