1 Chronicles 4:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eshtoni alikuwa na wana watatu: Beth-rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa mwanzilishi wa mji wa Ir-nahashi. Wazawa wa watu hawa waliishi Reka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Iri-Nahashi. Hao walikuwa wazao wa Reka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Eshtoni akamzaa Beth-Rafa, na Pasea, na Tehina, babaye Ir-nahashi. Hao ni watu wa Reka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eshtoni alikuwa na wana watatu: Beth-rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa mwanzilishi wa mji wa Ir-nahashi. Wazawa wa watu hawa waliishi Reka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Ir-Nahashi. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Reka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Iri-Nahashi. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Reka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Eshtoni akamzaa Beth-Rafa, na Pasea, na Tehina, babaye Ir-nahashi. Hao ni watu wa Reka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eshtoni alikuwa na wana watatu: Beth-rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa mwanzilishi wa mji wa Ir-nahashi. Wazawa wa watu hawa waliishi Reka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Estoni akamzaa Beti-Rafa na Pasea na Tehina, babake Iri-Nahasi. Hawa ndio wana waume wa Reka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Eshtoni akamzaa Beth-Rafa, na Pasea, na Tehina, babaye Ir-nahashi. Hao ni watu wa Reka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Estoni alizaa: Beti-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa mwanzilishi wa muji wa Iri-Nahasi. Wazao wa watu hawa waliishi Reka.