1 Chronicles 4:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya; na wana wa Othnieli walikuwa Hathathi na Meonothai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonothai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Kenazi; Othnieli, na Seraya; na wana wa Othnieli; Hathathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya; na wana wa Othnieli walikuwa Hathathi na Meonothai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Kenazi; Othnieli, na Seraya; na wana wa Othnieli; Hathathi na Meonothai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya; na wana wa Othnieli walikuwa Hathathi na Meonothai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Kenazi: otinieli na Seraya; nao wana wa Otinieli: Hatati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Kenazi; Othnieli, na Seraya; na wana wa Othnieli; Hathathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Kenasi walikuwa: Otieli na Seraya. Wana wa Otieli walikuwa: Hatati na Meonotai.