1 Chronicles 4:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meonothai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu, lililoitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi stadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye bonde la Wakarashi; kwani hao walikuwa mafundi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu. Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu. Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu; kwani hao walikuwa mafundi stadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Meonotai akamzaa Ofura. Naye Seraya akamzaa Yoabu, babake Ge-Harasimu (Bonde la Wahunzi), kwani walikuwa wahunzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye bonde la Wakarashi; kwani hao walikuwa mafundi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Meonotai alizaa Ofura. Seraya alizaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Wafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa mule walikuwa wafundi kabisa.