1 Chronicles 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Na mwana wa Ela alikuwa Kenazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Kalebu, mwana wa Yefune; Iru, na Ela, na Naamu; na wana wa Ela; na Kenazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Na mwana wa Ela alikuwa Kenazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Kalebu, mwana wa Yefune; Iru, na Ela, na Naamu; na wana wa Ela; na Kenazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Na mwana wa Ela alikuwa Kenazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Kalebu, mwana wa Yefune: Iru, Ela na Namu; nao wana wa Ela: Kenazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Kalebu, mwana wa Yefune; Iru, na Ela, na Naamu; na wana wa Ela; na Kenazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Kalebu, mwana wa Yefune, walikuwa: Iru, Ela na Nama. Mwana wa Ela alikuwa Kenasi.