1 Chronicles 4:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Ezra walikuwa Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Meredi alimwoa Bithia, bintiye Farao, na hawa ndio wana aliomzalia Meredi: Miriamu, Shamai na Ishba, mwanzilishi wa mji wa Eshtemoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Ezra walikuwa: Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmoja wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Ezrahi; Yetheri, na Meredi, na Eferi, na Yaloni; na Miriamu akamzalia na Shamai, na Ishba, babaye Eshtemoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Ezra walikuwa Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Meredi alimwoa Bithia, bintiye Farao, na hawa ndio wana aliomzalia Meredi: Miriamu, Shamai na Ishba, mwanzilishi wa mji wa Eshtemoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Ezra walikuwa: Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmojawapo wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Ezra walikuwa: Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmojawapo wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Ezrahi; Yetheri, na Meredi, na Eferi, na Yaloni; na Miriamu akamzalia na Shamai, na Ishba, babaye Eshtemoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Ezra walikuwa Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Meredi alimwoa Bithia, bintiye Farao, na hawa ndio wana aliomzalia Meredi: Miriamu, Shamai na Ishba, mwanzilishi wa mji wa Eshtemoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Ezera: Yeteri na Meredi na Eferi na Yaloni. (Bitia) akachukua mimba ya Miriamu na ya Samai na ya Isiba, babake Estemoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Ezrahi; Yetheri, na Meredi, na Eferi, na Yaloni; na Miriamu akamzalia na Shamai, na Ishba, babaye Eshtemoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Ezra walikuwa: Yeteri, Meredi, Eferi na Yaloni. Meredi akamwoa Bitia, binti ya Mufalme wa Misri, na hawa ndio wana aliomuzalia Meredi: Miriamu, Samai na Isiba, mwanzilishi wa muji wa Estemoa.