1 Chronicles 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi. Huyu alimzalia Yeredi, mwanzilishi wa Mji wa Gedori, Heberi, mwanzilishi wa mji wa Soko, na Yekuthieli, mwanzilishi wa Mji wa Zanoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa watoto wa Bithia binti Farao, ambaye Meredi alikuwa amemwoa. Meredi alikuwa na mke mwingine wa kabila la Yuda ambaye aliwazaa: Yeredi baba wa Gedori, Heberi baba wa Soko, na Yekuthieli baba wa Zanoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkewe Myahudi akawazaa Yeredi, babaye Gedori, na Heberi, babaye Soko, na Yekuthieli, babaye Zanoa. Na hawa ndio wana wa Bithia, binti Farao, ambaye Meredi alimwoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi. Huyu alimzalia Yeredi, mwanzilishi wa Mji wa Gedori, Heberi, mwanzilishi wa mji wa Soko, na Yekuthieli, mwanzilishi wa Mji wa Zanoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi ambaye aliwazaa: Yeredi baba wa Gedori, Heberi baba wa Soko na Yekuthieli baba wa Zanoa. Hawa walikuwa watoto wa Bithia binti Farao, ambaye Meredi alikuwa amemwoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi ambaye aliwazaa: Yeredi baba wa Gedori, Heberi baba wa Soko na Yekuthieli baba wa Zanoa. Hawa walikuwa watoto wa Bithia binti Farao, ambaye Meredi alikuwa amemwoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkewe Myahudi akawazaa Yeredi, babaye Gedori, na Heberi, babaye Soko, na Yekuthieli, babaye Zanoa. Na hawa ndio wana wa Bithia, binti Farao, ambaye Meredi alimwoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi. Huyu alimzalia Yeredi, mwanzilishi wa Mji wa Gedori, Heberi, mwanzilishi wa mji wa Soko, na Yekuthieli, mwanzilishi wa Mji wa Zanoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mkewe wa Kiyuda wa Meredi akamzaa Yeredi, babake Gedori, na Heberi, babake Soko, na Yekutieli, babake Zanoa; lakini wale walikuwa wana wa Bitia, binti Farao, Meredi aliyemchukua, awe mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkewe Myahudi akawazaa Yeredi, babaye Gedori, na Heberi, babaye Soko, na Yekuthieli, babaye Zanoa. Na hawa ndio wana wa Bithia, binti Farao, ambaye Meredi alimwoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Meredi alikuwa na muke mwingine Muyuda. Huyu akamuzalia: Yeredi, mwanzilishi wa muji wa Gedori, Heberi, mwanzilishi wa muji wa Soko, na Yekutieli, mwanzilishi wa muji wa Zanoa.