1 Chronicles 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Reaya, mwana wa Shobali, alimzaa Yahathi, aliyekuwa baba yake Ahumai na Lahadi, hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizo zilikuwa koo za Wasorathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Reaya, mwana wa Shobali, akamzaa Yahathi; na Yahathi akawazaa Ahumai, na Lahadi. Hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Reaya, mwana wa Shobali, alimzaa Yahathi, aliyekuwa baba yake Ahumai na Lahadi, hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Reaya, mwana wa Shobali, akamzaa Yahathi; na Yahathi akawazaa Ahumai, na Lahadi. Hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Reaya, mwana wa Shobali, alimzaa Yahathi, aliyekuwa baba yake Ahumai na Lahadi, hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Raya, mwana wa Sobali, akamzaa Yahati; naye Yahati akamzaa Ahumai na Lahadi. Huu ndio ukoo wao Wasorati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Reaya, mwana wa Shobali, akamzaa Yahathi; na Yahathi akawazaa Ahumai, na Lahadi. Hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Raya mwana wa Sobali, alizaa Yahati, aliyekuwa baba ya Ahumai na Lahadi, hizo ndizo jamaa za Wazorati.