1 Chronicles 4:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Shimoni walikuwa Amnoni, Rina, Ben-hanani na Tiloni. Ishi alikuwa na wana wawili: Zohethi na Ben-zohethi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shimoni walikuwa: Amnoni, Rina, Ben-Hanani na Tiloni. Wazao wa Ishi walikuwa: Zohethi na Ben-Zohethi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Shimoni; Amnoni, na Rina, na Ben-hanani, na Tiloni. Na wana wa Ishi; Zohethi, na Ben-zohethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Shimoni walikuwa Amnoni, Rina, Ben-hanani na Tiloni. Ishi alikuwa na wana wawili: Zohethi na Ben-zohethi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shimoni walikuwa: Amnoni, Rina, Ben-Hanani na Tiloni. Wazao wa Ishi walikuwa: Zohethi na Ben-Zohethi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shimoni walikuwa: Amnoni, Rina, Ben-Hanani na Tiloni. Wazao wa Ishi walikuwa: Zohethi na Ben-Zohethi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Shimoni; Amnoni, na Rina, na Ben-hanani, na Tiloni. Na wana wa Ishi; Zohethi, na Ben-zohethi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Shimoni walikuwa Amnoni, Rina, Ben-hanani na Tiloni. Ishi alikuwa na wana wawili: Zohethi na Ben-zohethi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Simoni: Amunoni na Rina, Beni-Hanani na Tiloni. Nao wana wa Isi: zoheti na Beni-Zoheti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Shimoni; Amnoni, na Rina, na Ben-hanani, na Tiloni. Na wana wa Ishi; Zohethi, na Ben-zohethi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Simoni walikuwa: Amunoni, Rina, Beni-Hanani na Tiloni. Isi alikuwa na wana wawili: Zoheti na Beni-Zoheti.