1 Chronicles 4:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa Eri, mwanzilishi wa mji wa Leka, Laada, mwanzilishi wa mji Maresha; ukoo wa wafuma nguo za kitani waliokuwa wakiishi katika mji wa Beth-ashbea;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi walioishi huko Beth-Ashbea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda; Eri, babaye Leka, na Laada, babaye Maresha, na jamaa zao wa mbari ya wafuma nguo za kitani safi, wa mbari ya Ashbea;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa Eri, mwanzilishi wa mji wa Leka, Laada, mwanzilishi wa mji Maresha; ukoo wa wafuma nguo za kitani waliokuwa wakiishi katika mji wa Beth-ashbea;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda; Eri, babaye Leka, na Laada, babaye Maresha, na jamaa zao wa ukoo wa wafuma nguo za kitani safi, wa ukoo wa Ashbea;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa Eri, mwanzilishi wa mji wa Leka, Laada, mwanzilishi wa mji Maresha; ukoo wa wafuma nguo za kitani waliokuwa wakiishi katika mji wa Beth-ashbea;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Sela, mwana wa Yuda: Eri, babake Leka, na Lada, babake Maresa, nao ukoo wao waliojua kufuma bafta wa mlango wa Asibea;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Shela, mwana wa Yuda; Eri, babaye Leka, na Laada, babaye Maresha, na jamaa zao wa mbari ya wafuma nguo za kitani safi, wa mbari ya Ashbea;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Sela mwana wa Yuda, walikuwa: Eri, mwanzilishi wa muji wa Leka; Lada, mwanzilishi wa muji wa Maresa, ukoo wa wafuma nguo za kitani waliokuwa wakiishi katika muji wa Beti-Asibea;