1 Chronicles 4:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yokimu na watu walioishi katika mji wa Kozeba; na Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na wakarejea Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yokimu, watu walioishi Kozeba, Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na Yashubi-Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yokimu, na watu wa Kozeba, na Yoashi, na Sarafi waliokuwa na mamlaka katika Moabu, na Yashubi-lehemu. Na taarifa hizi ni za zamani sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yokimu na watu walioishi katika mji wa Kozeba; na Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na wakarejea Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yokimu, watu walioishi Kozeba, Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na Yoshubi-Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yokimu, watu walioishi Kozeba, Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na Yashubi-Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yokimu, na watu wa Kozeba, na Yoashi, na Sarafi waliokuwa na mamlaka katika Moabu, na Yashubi-lehemu. (Na taarifa hizi ni za zamani sana).
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yokimu na watu walioishi katika mji wa Kozeba; na Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na wakarejea Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena Yokimu na wana waume wa Kozeba na Yoasi na Sarafu waliotawala Moabu, na Yasubi-Lehemu. Lakini maneno haya ni ya kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yokimu, na watu wa Kozeba, na Yoashi, na Sarafi waliokuwa na mamlaka katika Moabu, na Yashubi-lehemu. Na taarifa hizi ni za zamani sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yokimu na watu walioishi katika muji wa Kozeba; na Yoasi na Sarafu waliotawala kule Moabu na wakarudia Lehemu. (Habari hizi ni za zamani sana.)