1 Chronicles 4:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu; Shalumu alimzaa Mibsamu na Mibsamu akamzaa Mishma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mwanawe huyo ni Shalumu, na mwanawe huyo ni Mibsamu, na mwanawe huyo ni Mishma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu; Shalumu alimzaa Mibsamu na Mibsamu akamzaa Mishma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mwanawe huyo ni Shalumu, na mwanawe huyo ni Mibsamu, na mwanawe huyo ni Mishma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu; Shalumu alimzaa Mibsamu na Mibsamu akamzaa Mishma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanawe alikuwa Salumu, mwanaswe alikuwa Mibusamu, mwanawe alikuwa Misima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mwanawe huyo ni Shalumu, na mwanawe huyo ni Mibsamu, na mwanawe huyo ni Mishma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alizaa Salumu, Salumu alizaa Mibusamu, Mibusamu alizaa Misma. Misma alizaa Hamueli, Hamueli alizaa Zakuri, Zakuri alizaa Simei.