1 Chronicles 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Etamu walikuwa Yezreeli, Ishma na Idbashi. Walikuwa na dada mmoja aliyeitwa Haselelponi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio wana wa babaye Etamu; Yezreeli, na Ishma, na Idbashi; na umbu lao aliitwa jina lake Haselelponi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Etamu walikuwa Yezreeli, Ishma na Idbashi. Walikuwa na dada mmoja aliyeitwa Haselelponi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio wana wa babaye Etamu; Yezreeli, na Ishma, na Idbashi; na dada yao aliitwa jina lake Haselelponi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Etamu walikuwa Yezreeli, Ishma na Idbashi. Walikuwa na dada mmoja aliyeitwa Haselelponi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio wana wa babake Etamu: Izireeli na Isima na Idibasi, nalo jina la umbu lao ni Hasilelponi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio wana wa babaye Etamu; Yezreeli, na Ishma, na Idbashi; na umbu lao aliitwa jina lake Haselelponi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Etamu walikuwa: Yezereheli, Isima na Idubasi. Walikuwa na dada mumoja aliyeitwa Hasilelponi.