1 Chronicles 4:31 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Beth-markabothi, Hazar-susimu, Beth-biri na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao mpaka wakati wa utawala wa mfalme Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Beth-Markabothi, Hasar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao hadi wakati wa utawala wa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na huko, Beth-markabothi, na Hasar-susimu, na Bethbiri, na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao hata wakati wa kumiliki Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Beth-markabothi, Hazar-susimu, Beth-biri na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao mpaka wakati wa utawala wa mfalme Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Beth-Markabothi, Hazar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao mpaka wakati wa utawala wa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Beth-Markabothi, Hasar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao mpaka wakati wa utawala wa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na huko, Beth-markabothi, na Hasar-susimu, na Bethbiri, na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao hadi wakati wa kutawala kwa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Beth-markabothi, Hazar-susimu, Beth-biri na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao mpaka wakati wa utawala wa mfalme Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Beti-Markaboti na Hasari-Susimu na Beti-Biri na Saraimu. Hii ndiyo miji yao, mpaka Dawidi aliposhika ufalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na huko, Beth-markabothi, na Hasar-susimu, na Bethbiri, na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao hata wakati wa kumiliki Daudi.