1 Chronicles 4:32 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia, waliishi katika miji mingine mitano: Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vijiji vya miji hiyo vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani: miji mitano,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vijiji vyao vilikuwa Etamu, na Aini, na Rimoni, na Tokeni, na Ashani, miji mitano,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia, waliishi katika miji mingine mitano: Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani jumla miji mitano,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani; jumla miji mitano:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vijiji vyao vilikuwa Etamu, na Aini, na Rimoni, na Tokeni, na Ashani, miji mitano,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia, waliishi katika miji mingine mitano: Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vijiji vyao vilikuwa Etamu na Aini, Rimoni na Tokeni na Asani, ni miji mitano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vijiji vyao vilikuwa Etamu, na Aini, na Rimoni, na Tokeni, na Ashani, miji mitano,