1 Chronicles 4:33 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo huko Baali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya nasaba yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na vijiji vyote kuizunguka miji hii hadi huko Baali. Haya yalikuwa makazi yao. Nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vijiji vyao vyote vilivyoizunguka miji iyo hiyo, mpaka Baali. Hayo ndiyo makao yao, na hati ya nasaba yao wanayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo huko Baali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya nasaba yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baalathi. Haya yalikuwa makao yao, wao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vijiji vyote vilivyoizunguka miji hiyo hiyo, mpaka Baali. Hayo ndiyo makao yao, na hati ya nasaba yao wanayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo huko Baali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya nasaba yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vijiji vyao vyote vilivyoizunguka miji hii mpaka Baali vilikuwa makao yao, navyo vilikuwa na vitabu vyao vya udugu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na vijiji vyao vyote vilivyoizunguka miji iyo hiyo, mpaka Baali. Hayo ndiyo makao yao, na hati ya nasaba yao wanayo.