1 Chronicles 4:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wafuatao walikuwa wakuu wa koo zao: Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Meshobabu, na Yamleki, na Yosha, mwana wa Amazia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wafuatao walikuwa wakuu wa koo zao: Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Meshobabu, na Yamleki, na Yosha, mwana wa Amazia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wafuatao walikuwa wakuu wa koo zao: Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena: Mesobabu na Yamuleki na Yosa, mwana wa Amasiya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Meshobabu, na Yamleki, na Yosha, mwana wa Amazia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hawa ndio walikuwa wakubwa wa ukoo zao: Mesobabu, Yamleki, Yosa mwana wa Amazia, Yoeli, Yehu (mwana wa Yosibia, mujukuu wa Seraya, mwana wa Asieli), Eliyoenai, Yakoba, Yesohaya, Asaya, Adieli, Yesimieli, Benaya, Ziza (mwana wa Sifi, mujukuu wa Aloni, wa uzao wa Yedaya, wa Simuri na wa Semaya). Jamaa zao waliongezeka kwa wingi sana.