1 Chronicles 4:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walienea hadi kwenye lango la mji wa Gedori, upande wa mashariki wa bonde, ili kuwatafutia kondoo wao malisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakaenea wakafika viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakaenda mpaka maingilio ya Gedori, naam, mpaka upande wa mashariki wa bonde hilo, ili kuwatafutia kondoo zao malisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walienea hadi kwenye lango la mji wa Gedori, upande wa mashariki wa bonde, ili kuwatafutia kondoo wao malisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakaenda mpaka maingilio ya Gedori, naam, mpaka upande wa mashariki wa bonde hilo, ili kuwatafutia kondoo wao malisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walienea hadi kwenye lango la mji wa Gedori, upande wa mashariki wa bonde, ili kuwatafutia kondoo wao malisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaenda, hata waingie Gedori upande wa maawioni kwa jua wa huko bondeni kuwatafutia mbuzi na kondoo wao malisho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakaenda mpaka maingilio ya Gedori, naam, mpaka upande wa mashariki wa bonde hilo, ili kuwatafutia kondoo zao malisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitawanyika mpaka kwenye mulango wa muji wa Gedori, upande wa mashariki wa bonde, kwa kuwatafutia kondoo wao malisho.