1 Chronicles 4:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo waliwaua Waamaleki waliosalia baada ya kunusurika, na wakaishi huko mpaka leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawaua Waamaleki waliobaki, na waliokuwa wamenusurika; nao wanaishi huko hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakawapiga mabaki ya Waamaleki waliookoka, wakakaa huko, hata siku hii ya leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo waliwaua Waamaleki waliosalia baada ya kunusurika, na wakaishi huko mpaka leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawaua Waamaleki waliobaki waliokuwa wamenusurika, nao wanaishi huko hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawaua Waamaleki waliobaki, waliokuwa wamenusurika, nao wanaishi huko hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakawaua Waamaleki waliokuwa wamenusurika, wakakaa huko, hata siku hii ya leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo waliwaua Waamaleki waliosalia baada ya kunusurika, na wakaishi huko mpaka leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakayapiga masao ya Waamaleki walioponea huko, wakakaa huko mpaka siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakawapiga mabaki ya Waamaleki waliookoka, wakakaa huko, hata siku hii ya leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule wakawaua Waamaleki waliobaki kisha kuponyoka nao wakaishi kule mpaka leo.