1 Chronicles 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ashuru, mwanzilishi wa mji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Naara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Ashuri, babaye Tekoa, alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ashuru, mwanzilishi wa mji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Naara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Ashuri, babaye Tekoa, alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ashuru, mwanzilishi wa mji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Naara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Ashuri, babake Tekoa, alikuwa na wanawake wawili: Hela na Nara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Ashuri, babaye Tekoa, alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asuri, mwanzilishi wa muji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Nara.